VIDEO: Waziri Mwakyembe na Mwigulu Nchemba walivyopokelewa kwa shangwe kwenye "Kubwa Kuliko"

 
Waziri Harrison Mwakyembe na Mbunge Mwigulu Nchema ni miongoni mwa viongozi ambao wamehudhuria katika sherehe ya Yanga "Kubwa Kuliko" inayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi