Klabu ya soka ya Yanga imewatambulisha wachezaji wawili wapya ambao wamewasajili kwa ajili ya msimu ujao. Lakini kubwa kuliko ambalo limewashtua wengi ni kumtangaza mshambuliaji Juma Balinya aliyekuwa mfungaji bora wa ligi ya Uganda msimu huu ambaye pia alikuwa akiwindwa na Simba SC.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
