VIDEO: Mratibu wa Tasaf tumbo joto, zaidi ya kaya 1500 zinapata hela kinyume na utaratibu


Zaidi ya kaya 1500 hewa za TASAF zimebainika kuwa zilikuwa zinapata fedha  kinyume na taratibu ikiwemo marehemu waliofariki muda Mrefu ,Madiwani ,vitambulisho hewa pamoja na Wenyeviti wa Vitongoji ambapo imesababisha hasara katika Wilaya Hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi