Afrika Kusini: Maduka ya Wageni yavamiwa na kuporwa


Maduka yanayomilikiwa na wageni nchini Afrika Kusini hasa katika eneo la Soweto yamevamiwa wa wazawa wa taifa hilo. Raia wa Afrika Kusini wameyavamia maduka hayo na kufanya uporaji wa bidhaa mbali mbali zilizokuwa zimewekwa kwenye makabati kwa ajili ya kuuzwa.

Maeneo yaliyoathiriwa zaidi ya uvamizi huo ni Moroka, Dlamini, Protea Glen, Dobsonville, Rockville na Zola

Raia wa Afrika Kusini mara kwa mara wamekuwa wakiwabugudhi wageni waliopo katika nchi hiyo kwa ajili ya kufanya shughuli za kiuchumi, huku wakidai kuwa wageni wamechukua fursa zao za ajira na katika sekta ya uchumi.

Mpya zaidi Nzee zaidi