Hazard apewa jezi namba 7 Real Madrid

Eden Hazard atavaa jezi No 7 ndani ya Real Madrid, akichukua jezi iliyowahi kuvaliwa na Cristiano Ronaldo.

Klabu hiyo imeweka wazi kwamba mchezaji huyo atavaa jezi hiyo kwenye tovuti ya Real Madrid.
Mpya zaidi Nzee zaidi