Abiria 233 wanusurika huku 23 wakijeruhiwa baada ya ndege ya abiria aina ya Airbus 321 ya Shirika la Ural Airline kutua kwa dharura katika shamba la nafaka huko Moscow baada ya kukumbana na kundi kubwa la ndege angani waliosababisha kutokea kwa hitilafu katika injini ya ndege hiyo.