Ijumaa hii baadhi ya viongozi wa mkutano mkuu Taifa na wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha CUF wameendelea na ziara yao ya kukagua uhai wa chama katika mkoa wa Tanga lakini kwa leo walikuwa katika wilaya ya Kilindi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
