VIDEO: Kocha wa Township Rollers aikubali Yanga ''wako vizuri''


Kocha wa timu ya Township Rollers, Tomas Trucha ameipongeza klabu ya Yanga kwa mchezo mzuri waliouonyesha husasani kipindi cha pili baada ya kubadili mfumo ambapo walikua wanawashambulia zaidi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi