Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Kalist Lazaro amesema kuwa suala la Kupiga Pingu kwa walihujumu mapato ya Jiji imesaidia katika kuongeza mapato na jiji hilo kushika namba moja kwa asililimia 103 huku akimpongeza Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Pamoja na Watumishi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE
