VIDEO: 'Nitaondoka na kichwa cha mtu' Aggrey Mwanri


Mkuu  wa  mkoa  wa  Tabora  Aggrey  Mwanri  ametoa siku kumi na nne  tu kwa halmashauri  ya  manispaa  ya  Tabora  kulipa  zaidi ya  shilingi milioni miatano ikiwa ni  fidia  ya  ardhi  iliyoitwaa  kutoka  kwa  wananchi  fedha  ambayo  imeonekana  miongoni  mwa   hoja  hamsini  za  taarifa  ya  mkaguzi  mkuu  wa hesabu  za  serikali  cag zilizoshindwa  kupatiwa  majibu  yanayotosheleza  katika  halmashauri  hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi