VIDEO: Naibu katibu mkuu sheria na katiba awachana Wabunge


Naibu katibu wa katiba na sheria ndg, amewaonya wanasiasa wanaotaka kuwagawa wananchi kwa kuwaonga vijipesa vidogo vidogo kwa lengo la kutaka kuchaguliwa tena hali ambayo inakwamisha
maendeleo ya Mkoa Kagera na shughuli za uwekezaji kwa ujumla huku akimuomba mh, waziri mkuu kwenda kumuomba aendelee kumbakiza mkuu wa mkoa Brigedia Jeneral Marco Gaguti mkoani hapa walau kwa miaka mingine mitano na kuijenga Kagera mpya yenye fursa za uwekezaji.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi