VIDEO: Mwanaharakati awavaa wakina Musiba/ Ampongeza Rais Magufuli/ Atumbua jipu la Halmashauri Kilosa


Mwanaharakati Suleimani Simba amewajia juu watu ambao wamekuwa wakizungumza kwenye vyombo vya habari kwa kumgombanisha Rais John Magufuli na baadhi ya viongozi wastaafu. Pia mwanaharakati huyo amempongeza Rais Magufuli kwa utendaji kazi wake mzuri unaoonekana sio wa maneno.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi