Loading...

9/11/2019

CHUO CHA TUMAINI JIPYA IRINGA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

Mkuu wa Chuo cha Afya Tumaini Jipya Medical Training College kilichopo Lungemba-Mafinga Mjini anakutangazia nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 katika kozi ya Clinical Medicine itakayoanza September Mosi 2019 katika ngazi ya Certificate na Diploma.

Chuo kimesajiliwa na Nacte kwa namba za usajili 144 HAS, Muda wa masomo ya Certficate  of Clinical Medicine ni miaka miwili na Diploma of Clinical Medicine ni miaka mitatu.

Chuo kinavifaa vyote vya kufundishia na maabara ya kisasa, Ajira kwa mwanafunzi baada ya kuhitimu ni ya uhakika, Chuo kinapokea wanafunzi wote wa kutwa na bweni.

Sifa za mwombaji 
Awe amehitimu kidato cha nne na kuendelea na kupata ufaulu wa alama A,B,C au alama D katika Masomo ya Phiscs,Chemistry pamoja na Biology.

Fomu za kujiunga na chuo zinapatikana Chuoni Tumaini Jipya,Kituo cha Afya Tumaini Jipya kilichopo nyuma ya kituo cha Mafuta cha Total Mafinga na kwenye website ya chuo www.tumainijipya.epizy.com.

Au wasiliana nasi kwa namba 0755535301 / 0764986544 na 0755470903.

TUMAINI JPYA; WE PRATCTICE THAT WE TEACH.KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger