Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Dkt Maulid Madeni ametoa Onyo kwa wazazi wanaowaza kuwapeleka mijini watoto wao na kuwaozesha pindi wanapomaliza Elimu yao ya Msingi jambo ambalo amesema hatavumilia atawashughulikia ili watoto watimize malengo yao
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU SUBSCRIBE
