Teknolojia ya VAR yaibuka na kihoja Ligi Kuu ya Saudia Arabia


Teknolojia ya VAR yasitishwa katika mechi ya Ligi ya Saudia Arabia baada ya mmoja wa wafanyikazi kwenye uwanja huo kuchomoa kifaa cha VAR ili kuchaji simu yake.

Hii ilikuwa mechi kati ya Al-Nassr na Al-Fateh utata ulipojitokeza baada ya mwamuzi kutaka kutumia VAR katika tukio la faulo lililojitokeza uwanjani.

Mechi hiyo ilimalizika kwa Al Nassr kushinda bao 1-0.
Mpya zaidi Nzee zaidi