VIDEO: Hashim Rungwe acharuka uchaguzi wa serikali za mitaa/ Amtaja Mbowe/ "Unaniogapa nini?"
byMuungwana Blog 1-
0
Mwenyekiti wa Chama cha Umma (Chaumma), Hashim Rungwe, Jumapili ya mleo amezungumza na waandishi wa habari katika ofisi za chama hicho kuhusu uchaguzi ujao wa serikali za mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 24 ya mwaka huu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE