Mkuu wa mkoa Kagera Brig, Jen. Marco E Gaguti amewataka wajasiriamali kutumia mikopo waliopewa na harmashauli ambayo ni asilimia kumi (10%) kwa vikundi vya vijana, akina mama na walemavu wilayani Karagwemkoani Kagera ili kujikwamua kiuchumi na kuongeza pato la taifa ambapo amesema kwasasa mkoa Kagera hauna changamoto la soko ya bidhaa mbalimbali na kuwataka kufikiria kupanuka kibiashara ili hata serikali iweze kufikiria kuwapa mikopo mikubwa hata kufikia milioni miamoja
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KU SUBSCRIBE
