Loading...

10/09/2019

Yanga yapangwa na Wamisri Kombe la Shirikisho barani Afrika

Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani  Afrika Yanga SC wamepangwa kukutana na Pyramids ya Misri katika hatua ya mchujo kuwania nafasi ya kuingia hatua ya makundi ya michuano hiyo.


Loading...