Je, wewe ni muhitimu ambaye unataka kusomea fani za afya?
Je, una ufaulu wa kuanzia alama “D” katika masomo ya Fizikia, kemia na biolojia?
Je, unataka kupata elimu bora kwa gharama nafuu?
Kama majibu yako yote ni ndio, basi Chuo cha afya na sayansi shirikishi St. Davis ndio chaguo sahihi.
Chuo cha St. David kimesajiliwa na kinatambuliwa na NACTE Chenye usajili namba REG/HAS/170 pamoja na Wizara ya Afya. Chuo kipo Kimara Temboni.
Kozi zinazotolewa ni;
Chuo kina walimu bora na wakutosha. Chuo kina vifaa vya kisasa, maabara ya kisasa na maktaba ya kisasa. Vyote hivi vinamuwezesha mwanafunzi kupata taaluma bora inayojitosheleza.
Hostel kwa ajili ya wanafunzi zinapatikana na ada zake ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu nne.
Ili kujiunga na chuo cha St. David hakikisha unachukua fomu mapema kwani nafasi ni chache.
Fomu hizi zinapatikana St. David College Kimara Temboni Dar es salaam. Kama uko mkoani tafadhali PIGA simu na utasaidiwa kwa haraka.
Kwa maelezo zaidi unaweza kupiga simu St. David college kwa namba 0652719171 au 0787747815. Wote mnakaribishwa

- ORDINARY DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE
- TECHNICIAN CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE