VIDEO: Rais Magufuli amteua CAG Mpya, Prof. Assad akaa pembeni
byMuungwana Blog 2-
0
Rais Dkt John Magufuli amemteua Bwana Charles Edward Kichere, kuwa mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) akishika nafasi ya Profesa Mussa Assad, ambaye muda wake unaisha kesho Novemba 04.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE