VIDEO: ADC wawakalia kooni CCM/ wawapa makavu waliojitoa kwenye uchaguzi serikali za mitaa


Chama cha ADC wakiongozwa na katibu mkuu wao Hassan Doyo, leo Jumatano wamezindua kampeni zao za uchaguzi wa serikali za mitaa  ambapo wamefanya mkutano wa hadhara kwenye mtaa wa Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi