VIDEO: Mbaroni kwa kumuua mkewe kwa mkuki, RPC aeleza A-Z
byMuungwana Blog 2-
0
Jeshi la Polisi mkoa ni Tabora limemsikilia Omari Mkuyu Mkazi wa Kijiji cha Iskizya wilaya ya Uyui mkoani Tabora kwa tuhuma za kuumua mkewe kwa kumchoma mkuki mgongoni nakupelekea kifo chake kutokana na wivu wa kimapenzi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE