Waziri Mwakyembe atoa siku tatu kwa Baraza la Michezo (BMT) kumpa majibu

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amelitaka Baraza la Michezo (BMT) kumpa majibu ya malalamiko ya maamuzi katika ligi mbalimbali nchini ndani ya siku tatu kuanzia kesho Februari 6, 2020.


Mpya zaidi Nzee zaidi