Austarlia: Makontena 40 yaanguka kutoka kwenye mashua na kuzama baharini

Makontena  40 yaanguka kutoka kwenye mashua na kuzama baharini   Austarlia.

Makontema  40 yaanguka kutoka kwenye meli ya mizigo iliokuwa katika safari kutoka China kuelekea Australia

Meli iliokuwa ikisafiri kutoka nchini China ikielekea nchini Australia amekutana na dhoruba kali  iliosababisha mawimbi makubwa na kuepelekea makontena  40 kuangukia baharini na kuzama kabla ya kufikia  bandarini.

Tukio hilo limetokea karibu na fukwe za jiji la Sydney nchini Australia.

Picha zinazoonesha tukio hlo zimeripodiwa na  kikosi cha wanamaji cha uokozi cha Australia AMSA.

Mashua hiyo ilikuwa ikitokea katika   bandari ya jiji la Ningbo ilikuwa ikijielekeza katika mji wa APL England.

Wimbiz kubwa lililotokea limesababisha mashua hiyo kuyumba mno na makontena  40 kuangukia baharini.

Taarifa zinafahamisha kuwa makontena  7 yameharibika kutokana na  mgongano uliotokea .
Mpya zaidi Nzee zaidi