Uturuki yaonesha ushirikiano na Chad kwa kutoa msaada wa vifaa vya mamtibabu.
Uturuki yatoa msaada wa vifaa vya matibabu nchini Chad katika jitihada za ushirikiano wa kupambana na virusi vya corona.
Ndege ilisheheni vifaa hivyo kutoka Uturuki kuelekea nchini Chad ni ndege aina ya A400M.
Msaada huo wa vifaa vya matibabu ni katika jitihada za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona.
Ndege hiyo imeanza safari yake kutoka katika uwanja wa ndege wa jeshi Etimesgut mjini Ankara Jumannen asubuhi baada ya kuidhinishwa na raais ErdoÄŸan.
Miongoni mwa vifaa hivyo yamo pia magari ya wagonjwa katika matukio ya dharura.
Katika virushi vya msaada huo kumeandikwa baadhi ya beti za shahiri la Mtunzi mashuhuri wa mashahiri katika historia ya Uturuki Mevlana.
Uturuki imetoa msaada wa vifaa vya matibabu katika mataifa tofauti katika kipindi hiki cha kupambana na maambukizi ya virusi vya corona nchini Italia, Uhispania, Makedonia, Montenegro, Serbia , Kosovo, Boznia , Uingereza na Marekani bila ya kusahaua Somalia.