Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amesema wanafunzi wataendelea kubaki nyumbani na shule hazitofunguliwa nchini humo hadi chanjo ya corona itakapopatikana. “kwangu mimi chanjo kwanza halafu mengine yatafuata, bila chanjo kupatikana shule hazifunguliwi”.
Ufilipino hadi takwimu za muda huu ina maambukizi ya corona 14,669, vifo 886 na wamepona wagonjwa 3,412.
Ufilipino hadi takwimu za muda huu ina maambukizi ya corona 14,669, vifo 886 na wamepona wagonjwa 3,412.
