PICHA: Medie Kagere atua Dar , kuingia kambini kesho
byMuungwana Blog 5-
0
Mshambuliaji wa Simba raia wa Rwanda, Medie Kagere amerejea nchini leo na kesho Jumatano ataingia kambini na wachezaji wenzake kujiandaa na michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara pamoaja na Kombe la Shirikisho la Azam Sports.