Jul 1, 2020

Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati

“Benki ya Dunia leo Julai, mosi 2020 imeitangaza Tanzania kuingia UCHUMI WA KATI,nawapongeza Watanzania wenzangu kwa mafanikio haya, huu ni ushindi mkubwa na kazi kubwa tumeifanya, tulipanga kuingia uchumi wa kati ifikapo 2025 ila tumefanikiwa 2020.MUNGU IBARIKI TANZANIA” - JPM
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger