Nyumbani Matokeo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo byMuungwana Blog 5 -7/23/2020 06:03:00 PM 0 Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwenye viwanja mbali mbali na haya ndio matokeo ya michezo hiyo; FT: Coastal 0-0 Simba. FT: Alliance 2-2 Ndanda. FT: Lipuli 1-0 Ruvu. FT: Polisi 1-1 JKT. Azam FC vs Mbeya City ni saa 1:00 usiku Facebook Twitter