“Kusema kweli nilikuwa nimemzoea sana Mzee Mkapa, naamini kila Mtanzania alikuwa akifurahi na kujisikia furaja sana kila alipokuwa akimuona Mkapa pamoja na Marais wenzake wastaafu, Mzee Mwinyi na Mzee Kikwete walikuwa ni kama mapacha leo hapa Mkapa hayupo nimesikitika kuona wamebaki wawili tuu, hii inaumiza sana” –Rais Magufuli