“Mzee Mkapa niliongea nae akiwa Hospitalini kwa simu akaniambia ‘John usiwe na wasiwasi naendelea vizuri’ sikujua kuwa maneno yake yalikuwa ni ya kuniaga,namshukuru Mungu kazi ameikamilisha..Mkapa, Mwinyi,Kikwete walikuwa mara nyingi tunakuwa nao pamoja leo Mkapa hayupo”-JPM