Video: Rais Magufuli alia kwa uchungu "Mkapa alinilea kama mtoto wake, alikua ni shujaa wangu"


“Mzee Mkapa alinilea kama Mtoto wake, alikuwa ni shujaa wangu, alinionesha upendo.. saa nyingine machozi yanakuja tu msinishangae sana, hata Mzee Kikwete nilimuona juzi anadondosha machozi tena Kikwete ni Kanali ila alitoa chozi kwahiyo msinishangae mimi” -JPM

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.........USISAHAU KU SUBSCRIBE


Mpya zaidi Nzee zaidi