Rais Magufuli: Mzee Mkapa alikuwa na vipaji vya kulea na kukuza, yeye ndiye aliniibua mimi


“Mzee Mkapa alikuwa na vipaji vya kulea na kukuza, yeye ndiye aliniibua mimi, alimteua Mzee Kikwete kuwa Waziri wa Mambo ya Nje kwa miaka 10 baadaye akawa mrithi wake ni kama alikuwa anamuandaa kuwa Rais, alimuibua Rais Shein kwa kumpa Umakamu wa Rais” -JPM
Mpya zaidi Nzee zaidi