Mzee Mkapa alianzisha TRA na kuongeza mapato ya Nchi- JPM

“Mzee Mkapa alianzisha TRA na kuongeza mapato ya Nchi, aliongeza akiba ya kigeni, alipunguza mfumuko wa bei pia kwa ujumla mafanikio mengi ya kiuchumi tunayoyashuhudia sasa dira yake ilianzia wakati wa Uongozi wa Mzee Mkapa” -JPM

“Alianzisha Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) na Mpango wa Elimu ya Sekondari (MMES), pia alianzisha mpango wa elimu kwa walikosoa kusoma (MEMKWA), Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, NECTA, TCU na kuifanya VETA kuwa Taasisi inayojitegemea” - JPM


Mpya zaidi Nzee zaidi