“Ni ngumu kupata maneno ya kumuelezea Mzee Mkapa, nimemfahamu miaka mingi lakini nimemfahamu zaidi nilipokuwa Katibu CCM Wilaya ya Masasi na yeye alikuwa Mbunge Nanyumbu, alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje ila pamoja na ubize aliwatumikia Wananchi”-MSTAAFU KIKWETE