PICHA: Kikwete afika nyumbani kwa Marehemu Mzee Gabriel Ndugulile kutoa pole
byMuungwana Blog 5-
0
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amefika nyumbani kwa Marehemu Mzee Gabriel Ndugulile (Baba Mzazi wa aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile, Kigamboni DSM na kutoa pole kwa Familia ya Ndugulile kufuatia msiba huo.