Jul 4, 2020

Prof. Kitila Mkumbo na mwanafunzi wake wagombania ubunge jimbo moja


Baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ambaye alikuwa Mhadhiri UDSM, Prof Kitila Mkumbo kutangaza nia ya kugombea Ubunge Ubungo kupitia CCM, Kijana Hamis Abeid ambaye ni Mwanafunzi wa Mkumbo UDSM nae amejitokeza na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM.
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger