Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6,6 katika kipimo cha Richter China

Tetemeko  la ardhi lenye ukubwa wa 6,6 katika kipimo cha Richter  latokea nchini China.

Tetemeko la arhdi lenye ukubwa wa  6,6 katika kipimo cha Richter latokea katika jimbo la Nagqu nchini China.

Tetemeko hilo limesikaka katika eneo kubwa  la Tibet kitovu chake nchini China.

Taarifa zilizotolewa na  kitengo kinachohusika na utafiti wa  ardhi na tetemeko la ardhi zimefahamisha kuwa  hakuna  tishio la tsunami.

Hakuna taarifa ziadi ambazo zimetolewa kuhusu  hasara ambazo  zimesababishwa na tetemeko hilo.
Mpya zaidi Nzee zaidi