LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa amekuwa akibebeshwa lawama nyingi kuhusu mchezaji wake Bernard Morrison ambaye amebadilika ghafla na kuwa na tabia za utovu wa nidhamu. Morrison kwa sasa hayupo na kikosi cha Yanga ambacho kimewasili Iringa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Lipuli unaotarajiwa kuchezwa Julai 26, Uwanja wa Samora.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE