Watu 26 wamefariki katika mafuriko yaliosababishwa na mvua kali nchini Nigeria.
Mvua kali zilizonyesha mjini Abuja nchini Nigeria zimepelekea mafuriko ambayo pia yamesababisha mafuriko.
Alhaji Ibrahim Ahmed Inga, mkurugrnzi wa kitengo cha kutoa msaada katika matukio ya adharura SEMA amesema kwamba watu 11 wamefariki na wengine 6 hadi sasa hawajulikani walipo.
Juhudi za kuwatafuta watu ambao bado hawajapatikana zinaendelea huku ikifahamishwa kuwa watu zaidi ya 100 wamehamishwa kutoka katika makazi yao na kupelekwa katika eneo salama.
Mjini Abuja, Gwagwalada na maeneo mengine watu 15 akiwemo mwanamke mmoja mjamzito wamefariki katika mafuriko hayo.
Watu wengine 30 hawajulikani walipo.