Corona bado ipo ila sisi kwetu Mungu amejibu maombi yetu, sisi tupo salama- JPM



 “Mungu wetu anatupenda ndio maana Mataifa mengine hata mkiangalia kwenye TV Corona bado ipo, ila sisi kwetu Mungu amejibu maombi yetu, sisi tupo salama, Watoto wetu wanaenda shule, Wanamichezo wanacheza, Wasanii wanaendelea, Ibada na harusi zinafanyika” -JPM

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi