Uwanja umejaa na kule nje kumefurika inanipa changamoto kwamba nikiwa Rais tena cha kwanza nitajenga Uwanja Dodoma- JPM



 “Uwanja wa Jamhuri umejaa na kule nje kumefurika kwelikweli, hii inanipa changamoto kwamba nikiwa Rais tena cha kwanza nitajenga Uwanja Dodoma ili Wananchi wakiingia Uwanjani pawe panatosha, nawashukuru sana wote mliofika”-JPM kwenye Uzinduzi wa Kampeni Dodoma

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi