Mwinyi mzuri hana jaziba nawaomba Zanzibar mpeni kura zenu, nipeni na mimi kura- JPM



 “Mwinyi amekuwa Waziri wa Ulinzi kwa miaka 10, amesimamia mizinga, mabomu, vifaru ila hajawahi kuamrisha hata siku moja vikapige Watu, ni Kiongozi mzuri hana jaziba, ndio maana nawaomba Zanzibar mpeni kura zenu, nipeni na mimi kura, msije kusema tumeshinda bila kupiga kura”-JPM

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi