Mliotutuma miaka 5 iliyopita tumeyafanya vizuri, tupeni tena miaka 5 mingine- JPM



 “Kazi tulizozifanya ndizo zimetufanya tuje kuomba tena ridhaa ili tuziendeleze zisije kukwama, tumenunua Ndege mpya 11, nane zimefika na tatu zinatengenezwa, katika Ilani mpya ya Uchaguzi tutanunua Ndege nyingine 5 mpya ndani ya miaka 5 ikiwemo ya mizigo”-JPM

“Mliotutuma miaka 5 iliyopita tumeyafanya vizuri, tupeni tena miaka 5 mingine, tuendelee kuwa wamoja mambo mazuri makubwa yanakuja, tutaendelea kusimamia amani, umoja na mshikamano,tutaulinda Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar, tutakuza uchumi, tutapunguza riba kwenye Mabenki”-JPM

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi