“Tangu nimekuwa Rais nimetembelea Nchi 8 tu na zote za Afrika, najua wapo wanaosema mimi kutosafiri kumepunguza mahusiano yetu ya Kidiplomasia na Mataifa mengine hii sio kweli, bali tumeyaimarisha, tumefungua Balozi 8 Nje na Mataifa mawili yamefungua Balozi zao hapa nchini”-JPM