Tumeboresha Sekta ya Madini na sasa Watanzania wananufaika akiwemo Bilionea Laizer- JPM
byMuungwana Blog 3-
0
Tumeboresha Sekta ya Madini na sasa Watanzania wananufaika akiwemo Bilionea Laizer, tulipoanza kuchukua hatua kwenye madini wengine walitubeza na mnawajua, wakasema tutafunguliwa kesi lakini sasa waliotubeza naamini wanaona aibu” -JPM