Marekani yamuwekea vikwazo mke wa rais zamani wa Gambia


Wizara ya mambo ya nje ya marekani imetangaza vikwazo vua kiuchumi dhidi ya Zineb Jammeh, mke wa rais wa zamaniwa Gambia, Yahya Jammeh.

Zineb anaami niwa kusaidia au kuruhusu shughuli za ufisadi wakati wa utawala wa mume wake wa miaka 22 katika taifa hilo la magharibi mwa Afrika.

"Zineb Jammeh alitumia nafasia yakekusaidiakwa mali, kudhamini, au kutoa usaidizi kwa mume wake. Alitumia wakfu na misaada kama chambo kusaidia usafirishaji haramu wa pesa kwa mume wake," taarifa ilisema.

Rais huyo wa wa zamani aliiongoza Gambia kwa miaka 20. Alitoroka nchi baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka 2017 na sasa anaishi Equatorial Guinea.




Post a Comment

0 Comments