Serikali ya Ujerumani na Tanzania wametia saini mkataba wa Sh68 bilioni



Serikali ya Ujerumani na Tanzania wametia saini mkataba wa Sh68 bilioni kwa ajili ya kuimarisha miradi ya uhifadhi katika Hifadhi za Taifa nchini.

Mkataba huo umelenga miradi mikubwa miwili ambayo ni mfumo wa ikolojia wa Katavi na Mahale wenye thamani ya Sh46 bilioni na mradi wenye thamani ya Sh22 bilioni wa maendeleo ya uhifadhi katika mfumo wa Ikolojia ya Serengeti.

Msaada huo ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items