kiwanja Kinauzwa kipo maeneo ya Uruguruni karibu na hospital ya mloganzila na pia Halmashauri ya Ubungo, karibu kabisa na barabara kuu kiwanja kina hati miliki kina sqmtr 869 kipo block 4 Bei nafuu kulingana na mazingira karibu sana Kwa mawasiliano zaidi piga mobile
0679474775 / 0652707072
0 Comments