Trump atangaza makubaliano na Putin ya kusambaza dizeli masoko ya Marekani


RAIS wa Marekani, Donald Trump, ametangaza makubaliano na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ya kusambaza dizeli katika masoko ya Marekani na kimataifa, hatua iliyokosolewa na Ukraine.

Trump amesema Urusi itasambaza zaidi ya tani 300,000 mara moja, huku shehena nyingine zikitarajiwa katika miezi ijayo. Kremlin imethibitisha makubaliano hayo, huku Washington ikiendelea na juhudi za kutafuta suluhu ya vita vya Ukraine.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi